Nahitaji shamba au Kiwanja

Nahitaji shamba au Kiwanja

Nami natafuta kiwanja kiwe na ukubwa ufuatao. Upana usipungue mita 20 na urefu usipungue mita 30 na kisiwe ktk korongo wala mwinuko mkali, eneo la Kimara tu. Kutoka barabara kuu umbali usizidi kilomita 3. Bajeti yangu milioni 15. Call 0754747339

kama aujapata bado nijulishe mkuu kiwanja kipo mbez mwisho unaingia ndan kidogo wanapaita ghoba mpakan ila n urefu 20 upana 16 maji umeme upo na kina msingi vyumba vitatu bei mill 3,,, mawasiliano 0712846799
 
Jaman hukohuko goba, Kiwanja cha ukubwa wa 30*30 au 28*35 naweza pata?
 
Usiwe mnyonge na milioni yako njoo Mkuranga nitakuonyesha mashamba ya hiyo pesa.Unaweza kupata hekari moja au mbili kulingana na sehemu lilipo.Utapatana na mwenye mali na hakuna udalali.
Mkuranga sehemu gani mkuu!!?
 
kama aujapata bado nijulishe mkuu kiwanja kipo mbez mwisho unaingia ndan kidogo wanapaita ghoba mpakan ila n urefu 20 upana 16 maji umeme upo na kina msingi vyumba vitatu bei mill 3,,, mawasiliano 0712846799
Ntakutafuta mkuu
 
Hicho kidogo na kipo mbali mkuu nataka kimara kwa vigezo hivyo hapo juu
 
  1. Napenda kuwataarifu wadau mbalimbali wanaopenda kumiliki ardhi kuna Mashamba yanapatikana maeneo ya Kiwangwa(Bagamoyo) njia ya kuelekea Msata na viwanja vinapatikana.
  2. Bei ni Tsh 700,000/= kwa kila Heka na zipo 4Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Msata.
  3. Hayo Mashamba yanamilikiwa na Wenyeji yani wakazi wa Msata wana hati za vijiji .
  4. Hayo Mashamba yanastawisha mazao kama vile Nanasi,Mpunga,Tikitimaji,Mahindi,
Kuna msemo unasema Little is more than nothing nawasilisha kwa mawasiliano zaidi call/sms +255 657 528 088 Asanteni sana
 
Wakuu heshima kwenu...
Nahitaji shamba au hata kama mtu anakiwanja kwa kiasi kisichozidi 1MIL...
Shamba liwepo maeneo ya DSM,au pwani
Njoo somanga kama ni kilimo hela hiyo nitakupa heka 3 na kuzid kidogo hakuna dalali nauli elf 10 tu kwa gari masaa 3
 
NJOO NIKUPE KIWANJA MPAKANI MWA KIBAHA NA KISARAWE KIPO CENTER KABISA NA NI BARABARANI SEHEMU INAITWA MUSESE MI NIMEJENGA HUKU NA NI CHANGU,UKUBWA WAKE UREFU 70 CHINI 17 JUU 28 mchanga,kokoto,maji,mawe huku vpo lete mil.1 hiyo,pia kuna road kuu itokayo kongowe ya kibaha inapta hapa kwenda chanika,kisarawe, nicheki 0624078252 AU 0764726071
 
Back
Top Bottom