Nahitaji pure sea salt isiyowekewa madini ya joto au chochote. Hii ni kwa mahitaji yangu ya kukaushia ngozi za wanyama. Ikipatikana kutoka Dar au Bagamoyo itakuwa safi.
Piga 0758434141 nipe bei yako nilinganishe na suppliers wengine. Ikiwa nzuri ni kazi ya kudumu.
Wasiliana na watu wa Singida
Pale Ziwa Singidani nakumbuka wakati Nasoma Mwenge Secondary School miaka hiyo Chumvi hii ipo kibaooo.
Wanavuna kutoka Ziwa Singidani,no madini joto ila wao wanatumia zao hivyo hivyo,hahaha aisee

Nimeongea na watu wa singida. Hiyo chumvi unayoniambia siyo inayohitajika kiwandani. Sisi tunahitaji kwa ajiri ya kuprocess ngozi za wanyama for exportation. Asante lakini naomba niulizie kwa bagamoyo na dar.