Nadu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 263 Reaction score 212 Feb 7, 2020 #1 Wadau wa JF nawasalimu, Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549. Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau wa JF nawasalimu, Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549. Sent using Jamii Forums mobile app
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,110 Feb 7, 2020 #2 Hapo uwezekano mkubwa ni kuuziwa full set Mkuu. Ila labda usubiri Wadau waje waweza kubahatisha.
Nadu JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 263 Reaction score 212 Feb 7, 2020 Thread starter #3 May Day said: Hapo uwezekano mkubwa ni kuuziwa full set Mkuu. Ila labda usubiri Wadau waje waweza kubahatisha. Click to expand... Ahsante. Full set ina maana gani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
May Day said: Hapo uwezekano mkubwa ni kuuziwa full set Mkuu. Ila labda usubiri Wadau waje waweza kubahatisha. Click to expand... Ahsante. Full set ina maana gani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app