Nahitaji Samsung note 4 (Genuine)

Nahitaji Samsung note 4 (Genuine)

Taylor Gang Jr

Senior Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
131
Reaction score
7
Habari wakuu...mm kwa sasa natumia samsung galaxy s5 (genuine) sm-g900f
Nilikuwa nahitaji samsung note 4 mpyaa au hata second hand ila iwe kwenye condition nzuri.
#nitakupa s5 yangu je ungependa nikuongezee na tsh ngapi,for serious sellers check wz me PM
 
Mwenye kuitaji samsung note 2 mpya 450,000 fixed price nipo dar 0712690760
 
Back
Top Bottom