Nahitaji samsung galaxy sii used

Nahitaji samsung galaxy sii used

Shabrahman

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Habari zenu wana JF .
Ninahitaj samsung galaxy s2 used still in a good condition.
Budget yangu ni 150,000/=
natanguliza shukran zangu za dhati. Ahsante
 
Hata OKING hupati. S2?? Hii hii yenye ram 1gb,int.memory 16? Ha hs ha.... Mbaya zaidi unataka iwe ktk gud condition!!!???
 
Samsung galaxy pocket,still mpya haijafikisha hata mwaka nyeupe full risiti-laki moja(100000/=)cash nitafute.0686982386

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForum
 
Habari zenu wana JF .
Ninahitaj samsung galaxy s2 used still in a good condition.
Budget yangu ni 150,000/=
natanguliza shukran zangu za dhati. Ahsante

Labda yenye crack. .ila kwa lak na nusu tafta s1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom