miagie JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 215 Reaction score 76 Mar 30, 2014 #1 mwenye kuuza simu tajwa hapo juu nataka kuinunua offer yangu ni Tsh 380,000/= iwe katika hali nzuri nipo arusha mjini. napatikana 0656565983
mwenye kuuza simu tajwa hapo juu nataka kuinunua offer yangu ni Tsh 380,000/= iwe katika hali nzuri nipo arusha mjini. napatikana 0656565983
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 30, 2014 #2 Hiyo bei, itakuwa ni mtihani ndugu ila subiri washika dau wajitokeze hapa
hero de mmar JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 470 Reaction score 108 Mar 30, 2014 #3 Ipo lakini ni s3 mini kama unahitaji
Mipangomingi JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,713 Reaction score 2,062 Mar 30, 2014 #4 Kuna mtu yuko dar anayo mpyaa haijatumika hata second moja, original full box kwa 490k. Kama uko willing ni pm nikuunganishe nae
Kuna mtu yuko dar anayo mpyaa haijatumika hata second moja, original full box kwa 490k. Kama uko willing ni pm nikuunganishe nae
T Tech24 Member Joined Mar 23, 2014 Posts 16 Reaction score 5 Mar 31, 2014 #5 ipo.. ndo iliyochapa hii msg kwa 450 in good condition.. ni PM for more info.
Hudhaifiy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 336 Reaction score 145 Mar 31, 2014 #6 miagie said: mwenye kuuza simu tajwa hapo juu nataka kuinunua offer yangu ni Tsh 380,000/= iwe katika hali nzuri nipo arusha mjini. napatikana 0656565983 Click to expand... Mkuu kwa bei hyo inapatikana tatizo uko mbali, ila jitahid tu
miagie said: mwenye kuuza simu tajwa hapo juu nataka kuinunua offer yangu ni Tsh 380,000/= iwe katika hali nzuri nipo arusha mjini. napatikana 0656565983 Click to expand... Mkuu kwa bei hyo inapatikana tatizo uko mbali, ila jitahid tu
miagie JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 215 Reaction score 76 Mar 31, 2014 Thread starter #7 400 km uko interested nitafute nione mzgo....
J jonas2011 JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 321 Reaction score 129 Mar 31, 2014 #8 miagie said: 400 km uko interested nitafute nione mzgo.... Click to expand... Unayo au unataka kununua?
miagie said: 400 km uko interested nitafute nione mzgo.... Click to expand... Unayo au unataka kununua?
miagie JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 215 Reaction score 76 Mar 31, 2014 Thread starter #9 nataka kununua
sulfametopyrazine Senior Member Joined Apr 3, 2013 Posts 134 Reaction score 26 Apr 1, 2014 #10 nitafute upate s3 mpya kwa 380k...haipungui hata mia...pm me