Sasa mdogo wangu,hivi haujawai kusikia kuwa sinza ni moja ya eneo ghali sana kuishi hapa mjini,kwa kawaida chumba na sebule ni 150,000/=Nakushauri kama wewe mwanafunzi tafuta maeneo mengine tulivu,kwani hata hivyo sinza hakufai,wingi wa sehemu za starehe unawiana na wingi wa wanawake malaya,Sisi ni wazawa wa huko,sema tulishakimbia zamani,jengo tumeligeuza kuwa lodge kwani inalipa sana huko.