Nahitaji Ramani kwa ajili ya ujenzi

Nahitaji Ramani kwa ajili ya ujenzi

Rlukaku

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
100
Reaction score
20
Wadau nimechoka kuishi nyumba za kupanga,nahitaji kujenga nyumba yangu ASAP. Najua jukwaani humu wanafika wataalam waliobobea kuchora ramani za nyumbani.Nahitaji ramani simple ya vyumba vitatu,kimoja kiwe master kiwe na bafu+choo,viwili vishee bafu+choo. Kuwe na sebule + jiko + store. Master room napenda iwe opposite side na guest rooms. Yaani sebule iwe kati ya master room na vile vingine viwili. Kama una design iliyo tayari (3d view)nitumie kwenye email hii mahizabb@gmail.com pamoja na bei yake.

Karibu.
 
Umeshapata kama bado nitafute hapa: 0787577755.
 
Back
Top Bottom