Ndugu,
Natafuta rafiki.Rafiki ambaye tunaweza badilishana uzoefu katika maisha na ikiwezekana maisha yetu yote tuwe pamoja katika kushauriana kuhusu maisha kiujumla.Atakayekuwa tayari anitwangie humu 0676 22 33 27.
N.B Waume wanaruhusiwa katika hili ila wanawake wenye ndoa tafadhali hawahusiki katika hili.