music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Poa mkuu, nisaidie basi kama una uzoefuMkuu music mimi ukumbuke pia kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Usitake vizuri saaana kwa bajeti ndogo, unaweza usivipate.
Inauzwa bei gani? Inakuwa complete kuanzia radio mpka spika zake na wiring?Tafuta Grundig ya Germany, hutojuta
Mfano nikiwa nna laki tatu siwezi pata muziki mzuri mkuu?Mkuu music mimi ukumbuke pia kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Usitake vizuri saaana kwa bajeti ndogo, unaweza usivipate.
Mcheki Dick SoundMfano nikiwa nna laki tatu siwezi pata muziki mzuri mkuu?
Nimemchek lakini gharama zake kubwa sanaMcheki Dick Sound
Mkuu ulifanikiwa?,Kama bado ni PM laki 3 inatosha Sana kuweka sound ya heshima.Habari wazee,
Mwenye kujua wapi nitapata radio nzuri ya gari anisaidie. Sijui sana kuhusu miziki ya kwenye gari lakini nahitaji muziki mzuri unaochuja vizuri.
Nilijaribu kuuliza kwa Dick sound lakini alinitajia bei kubwa sana ni kama millioni moja ili anifungie muziki mzuri.
Mimi bajeti yangu ni ndogo najua kuna wazoefu wanaoweza nisaidia kupata muziki mzuri lakini kwa bei nafuu isiyoumiza.
Ebu fanya kucomment chochote mwenye uzoefu najua nitapata kitu.
*Muziki mzuri namaanisha unaochuja vizuri sio kelele nyingi.
tupo sinza ulizia muba sund njoo dukani kwetu tukufungie mziki mneneHabari wazee,
Mwenye kujua wapi nitapata radio nzuri ya gari anisaidie. Sijui sana kuhusu miziki ya kwenye gari lakini nahitaji muziki mzuri unaochuja vizuri.
Nilijaribu kuuliza kwa Dick sound lakini alinitajia bei kubwa sana ni kama millioni moja ili anifungie muziki mzuri.
Mimi bajeti yangu ni ndogo najua kuna wazoefu wanaoweza nisaidia kupata muziki mzuri lakini kwa bei nafuu isiyoumiza.
Ebu fanya kucomment chochote mwenye uzoefu najua nitapata kitu.
*Muziki mzuri namaanisha unaochuja vizuri sio kelele nyingi.
Bado mkuu. Poa nakuja pmMkuu ulifanikiwa?,Kama bado ni PM laki 3 inatosha Sana kuweka sound ya heshima.
Poa mkuu nimekusomatupo sinza ulizia muba sund njoo dukani kwetu tukufungie mziki mnene
zaid njo pm
a 1000w subwoofer enyewe ni 200k to 250k bado amp na makoro koro mengine sasa laki tatu unapataje mziki wa maana??Mkuu ulifanikiwa?,Kama bado ni PM laki 3 inatosha Sana kuweka sound ya heshima.