Nahitaji Radio Kutoka Zanzibar

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,332
Habari kwa watu walioko zanzbar
Nahitajio kupata Home theater Used
Bajeti Ni Laki Na Nusu Hadi Laki Mbili Isizidi.
Kwa Ambao wapo huko mnafanya biashara mnaweza kuniagizia na nikapokea huku Dar
Naomba Tuwasiliane kwa maelezo zaidi

Pia kama Upo dar naweza kupata mzigo huo kwa vigezo hivyo tuwasiliane
 
Home theater????

Au unasema yale maredio ya kupanga Eg. Sanyo, Kanewood, Sharp, Akai Au???
 
Home theater????

Au unasema yale maredio ya kupanga Eg. Sanyo, Kanewood, Sharp, Akai Au???
Hapana mkuu Home theater nshawahi pata kwa mdau mmoja hivi sema namba yake haipatikani tena
zinakuwa used kwenye mitumba, nshawahi kupata broo
sasa ndio natafuta tena sema niliyemtumia hapatikani mda sana hadi sasa
 
kuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000
Nb lazima ununue tofaut tofaut ngoja nikupe namba zake
 
kuna jamaaa anauza kwa mfano unaweza pata kichwa cha sony kwa 70,000 harafu ukanunua spika zaidi ya 6 kwa 50,000
Nb lazima ununue tofaut tofaut ngoja nikupe namba zake
Mkuu nami naomba namba zake nahitaji kichwa cha home theater
 
Nipo Zenji nakuja dar kesho kutwa,sifanyi biashara ila mbona kama bajeti ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…