Nahitaji psp ilio katika ubora

youngmauzo

New Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Nahitaji psp bei yangu nina 100,000 naomba mnisaidie nahitaji haraka kwani nina safari ijumaa kama unayo niandikie namba za simu nikucheki hewani mimi nipo dar
 
Kama una simu ya maana ya android tafuta hii app inaitwa ppsspp unacheza game za psp ipo had ya laptop
 
Nahitaji psp bei yangu nina 100,000 naomba mnisaidie nahitaji haraka kwani nina safari ijumaa kama unayo niandikie namba za simu nikucheki hewani mimi nipo dar

kuna thread inahusu psp embu jaribu kuitafuta jamaa anauza bei chee mnaweza kuelewana....
 
Me.nauza bei zinaanzia 170000 kama vp.nipigie 0719-808849 tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…