Nahitaji ps2 anayeuza

Nahitaji ps2 anayeuza

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
846
Reaction score
1,597
Heshima yenu wadau.

Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2.

Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia.

Iwe fat.

Iwe na pads zaidi ya moja.

Iwe na AV Cable na Power Cable.

Iwe na Flash na Memory Card.

Iwe nzima.

Muonekano siyo swala kubwa kwangu ila isiwe imevunjika au kupasuka.
Nipo Dar.

Ofa yangu ni 80,000/=
 
Back
Top Bottom