tafuta ya inkjet(hp) hua sio gharama ina fanya copy,scan&print japo sio eficient sana bei ni kama 150,000 pia tafuta printer za laserjet black tupu ni kama 250k, coloured kama 400k zinatofautiana uwezo zote ni hp mm natumia hyo kampuni coz printer zake hazina gharama kubwa na running cost ndogo(mafundi + spare ziko nyingi tu)