Nahitaji printer

Lete laki uje uchukue ya kwangu. Ila imeisha wino. Utaenda hapo Mabibo Hostel wakujazie kwa sh elfu tano tu 'kichupa' kimoja...
 
Agiza toka jumia market laki na 20 unapata printer mpya na ya uhakika ama laki mbili na 80 unapata yenye kufanya scanning, photocopy and printing
 
Ni inbox no yako ntakutumia picha Wassup.. Ina print na kuscan pia.. Ni mupya kabisa...
 
Lete laki uje uchukue ya kwangu. Ila imeisha wino. Utaenda hapo Mabibo Hostel wakujazie kwa sh elfu tano tu 'kichupa' kimoja...
mkuu ninashida na wino wa kujaza hata kwa zaidi ya hiyo 5000
0718950680
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…