nahitaji printer ya aina hii.........

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua ni aina zipi ni nzuri na zinapatikana kwa bei gani hapa Dar na ni duka lipi ni zuri kwa hizi printer hapa DSM. ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Mcheki huyu jamaa pia anazo 0714-039280.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…