U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 627 Aug 21, 2013 #1 Nahitaji printer kwa leaflet - two sided (size DL 3.2 x 3.9), nitaprint copy 2000 or more. anyeweza kufanya hii kazi nipe bei katika pm. Upande mmoja ni kiswahili na upande wa pili ni kingereza. hii hapa chini ndio kazi yenyewe, nimeweka upande mmoja (reduced resolution)
Nahitaji printer kwa leaflet - two sided (size DL 3.2 x 3.9), nitaprint copy 2000 or more. anyeweza kufanya hii kazi nipe bei katika pm. Upande mmoja ni kiswahili na upande wa pili ni kingereza. hii hapa chini ndio kazi yenyewe, nimeweka upande mmoja (reduced resolution)