Habari wakuu, nahitaji muuzaji wa Mixer ambayo ni powered itakayokuwa na uwezo wa kuendesha box speaker 4 za watt 300 yenye njia kama 12 au zaidi. Njoo na bei yako kwenye comment, pesa ipo tayari.
Kanunu soundcraft powered mixer ina 1600watts, njia 12/16 zina power sawa, au soundsoft ni 1400 watts, uwe makini kwenye kutofautisha hayo majina, bei ni 16chn ni laki 750, 12 chanel ni laki 6