Mkuu power bank ya simu yenye ukubwa wa 50,000mAh ninaweza kuitumia kucharge laptop?mkuu nyingi sasa hivi zipo ila kwa bongo ni ngumu kuipata.
Hizo za simu zenyewe yamejaa makapi tu kulle aggrey ngumu kupata za maana.
kama una uwezo agizia online, powerbank.kama dell companion ambayo output yake ni 19.5V inayoweza charge laptop na ina mah kama 18,000 hivi.
![]()
Haiwezekani, kwasababu output ya power bank ya simu ni ndogo ukilinganisha na input ya laptop.Mkuu power bank ya simu yenye ukubwa wa 50,000mAh ninaweza kuitumia kucharge laptop?
kama ulivyojibiwa haiwezekani, issue sio mah bali ni voltage. powerbank za simu zinatoa 5V wakati za laptop kama hio ya dell ni 19.5vMkuu power bank ya simu yenye ukubwa wa 50,000mAh ninaweza kuitumia kucharge laptop?
Chief- unaweza nisaidia kuniagizia hii maana sjawahi agza ktu online na nashda nayo hasa..naomba nisaidie kupga hesabu za manunnuz mpk inakufkia itacost sh ngap ksha mi nkutumie hyo cash mkuuu..Tafaaadhalii.mkuu nyingi sasa hivi zipo ila kwa bongo ni ngumu kuipata.