Rene Jr. Kaka hiyo material unayotafuta inaitwa Back lit , Nakushauri utafute proffesional akusaidie hiyo kazi. Inauzwa hela nyingi kidogo kwa roller. Au nenda mabatini kariakoo kunawatu naonaga wanadili na hizo ishu wanaweza kukukatia kidogo
aiseee mkuu una ujuzi wa mambo mengi hongera
Anafugiaje samaki kaka?..duh!