Nahitaji Pikipiki ya Mkataba au Bajaji.

Nahitaji Pikipiki ya Mkataba au Bajaji.

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,737
Reaction score
3,962
Nahitaji ajira ya udereva wa bodaboda iwe ya mkataba au malipo ya wiki, au Bajaji.
Ninajiamini mimi ni mwaminifu na niko tayari kufanya kazi vizuri kutokana na makubaliano yetu.

SIFA ZANGU:
Namiliki Leseni Class "E" , Cheti cha mafunzo ya udereva wa magari ya abiria-Public Service Vehicles (PSV) na cheti cha mafunzo ya awali ya umakenika (Motor Vehicle Mechanics).
Nina Elimu ya Form Four.
Sina ulemavu wowote.
Nipo MWANZA kwa Sasa.

Contacts: 0718454638 na 0765121003

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapo mwanza nenda kwa wenyekiti wa bajaji na badaboda waulize ni vigezo gani vinahitajika kupata bajaji ya mkataba au bodaboda..wakikujibu lifanyie kazi..

Kama unauzoefu na hiyo biashara andika mchanganuo hapa kwa siku utapaleka sh ngap au kwa week sh ngap na mwenye bajaji atafaidika nini..
Kuna watu wapo humu wana mitaji ila hawajui ni biashara gani wafanye
 
Asante sanaa mkuu kwa wazo madhubuti, naona hizi options mbili nahitaji kuzifanyia kazi with in this week, Stay Blessed Brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom