Dar es Salaam.Huwa wanataja sehemu uliyopo.
Taja namba ya usajili unayoitaka na bajet yakoInahitajika pikipiki TVS yenye cc125.
Iwe na tenki lenye rangi ya bluu.
CTaja namba ya usajili unayoitaka na bajet yako
Kwa nini unahitaji zaidi brand hyo mkuu,ina nini cha ziada na mimi nijifunze?Wadau.
Nahitaji.pikipiki.
Huku niliko ndizo rahisi kupata vipuri na mafundi wake.Kwa nini unahitaji zaidi brand hyo mkuu,ina nini cha ziada na mimi nijifunze?
Ushapata mkuu?Huku niliko ndizo rahisi kupata vipuri na mafundi wake.
Aina nyingine vipuri na mafundi ni mgogoro
Pamoja sana kiongoziHuku niliko ndizo rahisi kupata vipuri na mafundi wake.
Aina nyingine vipuri na mafundi ni mgogoro
Karibu.Pamoja sana kiongozi
Used au mpya?Wadau.
Nahitaji.pikipiki.
Iliyotumika namba C au D yenye hali nzuri.Used au mpya?
Bado mkuu.Ushapata mkuu?
Pochi haiko vizuri.Ingia dukani mkuu
Nenda hapo keko machungwa na milion 1point kadhaa utabeba chuma imaraDar es Salaam.
Asante sana.Nenda hapo keko machungwa na milion 1point kadhaa utabeba chuma imara