Nahitaji pikipiki TVS HLX 150

Nahitaji pikipiki TVS HLX 150

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,663
Nahitaji pikipiki aina ya TVS HLX 150 iliyo katika hali nzuri yenye usajili wa namba C

Bajeti yangu ni 800000 mpaka 880000

Napatikana Gongo la mboto kwa anayeuza anicheki pm
 
Back
Top Bottom