Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,930
- 1,172
...kwa anayeuza pikipiki sina ya boxer kwa bei hiyo tuwasiliane
Ndio kwa bei hiyo utapa hizo hapo ambazo zimetumika wastan wa mwaka au zaidi....una maanisha kwa bei hiyo nitapata hizi san lg, fekon etc?
Je boxer nitapata kwa sh ngap angalau??
leta 1.2m nikuachie boxer iko poa na haina tatizo lolote!
Ok,poa mkuu....duh, asante sana mkuu Zanzibar Spices, naona nijipange nitafute chombo kizuri, maana napenda sana boxer ni kwa ajili ya matumizi yangu binafsi
Safi sana Chagga,acha akutupie picha hapa ili tutathmini kisha ndio PM ifuate.tunegotiate tu mkuu, naomba uni attachie picha yake then twende pm
mkuu uko vizuri na unaonyesha wazi unawafahamu vyema madereva na hii biashara ya bodaboda na boxer yenyewe. Boxer ikitunzwa vizuri aaahhh iko poa sanaaaNdio kwa bei hiyo utapa hizo hapo ambazo zimetumika wastan wa mwaka au zaidi.
Boxer angalua uwe na 1.5 ndio utapata ambayo ipo kwenye hali nzuri na haijapindwa sana na Engine ilipo vizuri.
Unajua engine ya Boxer mpya ni ghali sana utaona bora ununue mpya kabisaa.
Sasa usije ukauziwa kimeo cha boxer kisha engine ika noki,ndugu yangu utajuta kununua kwa laki 8.
We nenda kaulizie side miror tu ya boxer bei yake halafu ndio utajua kama vioo tu bei hiyo je chuma chake itafika bei gani.
Boxer ni nzuri sana,lakini ni bora ununue huku unauhakika na chombo hicho,maana hata kama ni 1m bado unatauziwa maiti tu.
Hivi vyombo wengi wanavitumia bila kufanya servicies ndio tatizo kubwa sana.
Boxer unaweza kutumia zaidi ya miaka 3 na ikawa ipo kwenye hali nzuri sana,hapo ni kwamba Services inafaywa kwa uhakika wa hali yajuu.
Tatizo hawa madereva wanopewa kuendesha Boxers na pikipiki nyingine services hawapeleki,yaani wao hadi pikipiki izime njiani ndio wanapeleka Services.Ndio maana unakuta Pikipiki zimenunuliwa muda moja na hali nzuri lakini mlio wake kama Generator.
Kwa wastan wa chni kabisa kwa Pikipiki kama inatumika kama Bodaboda kwenda Services ni wiki mbli,na sio service ya kubahatisha.Sasa Driver anaona duhhh,nitoe pesa karibia elfu kumi na kitu kwa services,yeye anapotezea.mwisho wa siku ugonjwa unakuwa mkubwa,na mara Engine inaanza kufa,hapo ndio inabidi ifunguliwe ili kubadilisha vifaa baadhi vya ndani vilivyokufa kwa uzembe wa kuzembea muda wa Services na kwa uhakika.