Nahitaji PC au laptop kwa kujisomea

Nahitaji PC au laptop kwa kujisomea

nsumbo

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
9
Reaction score
3
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya, nahitaji msaada wa PC nzuri kwa ajili ya kujisomea na yenye bei nafuu na kwa yeyote anayeweza nisaidia upatikanaji wake,

Napatikana Kinondoni Dar,,, Karibuni na asanteni
 
Naenda shop wewe wacha utumbo, huko mpaka 300,000/= unapata new yenye specs zinazokufaa kwa kusomea
 
Mkuu nakushauri uweke budget yako ili watu wajue na uweze pata kitu moyo inapenda
 
Thanks bro

HABARI,
Unepewa ushauri mzuri kwenda dukani ila hiyo mpya ya 300,000 hapana hata ukikuta mpya kwa laki tano na nusu usichukue nyingi mpya za bei ndogo sio original zinaletwa na wahindi na wasomali toka china,Laptop mpya na original kwa hapa kwetu sio chini ya 700,000-800,000 na zaidi.
Kitu cha kufanya nenda kariakoo kuna maduka mengi sana tafuta laptop used nyingi zinakuwa zimetoka america na ulaya zimetengenezwa china ila kiwango cha juu ndio maaana zikaenda marekani na ulaya.

NENDA KARIAKOO FANYA UTAFITI YAPO MADUKA MENGI SANA ULIZIA AINA NA VIWANGO HIVI

DELL D620=SPEED 2.5 MGH AU ZAIDI
RAM 3 GB AU ZAIDI
HDD=250GB AU ZAIDI
(HDD-HARD DISK=NI KIFAACHA KUHIFADHIA KUMBUKUMBU NA GB- NI GIGA BYTE NI SIZE YA UJAZO)
AU
DELL D630 YENYE FIKA KAMA HIZO HIZI KILA MOJA UNAWEZA KUPATA KWA 300,000


LUMUMBA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom