ukipata wawili naomba unipe mmoja, paka weupe ni wazuri sana, ukiwafuga wanapendezesha nyumba halafu nyumba inakuwa na utulivu mkubwa.... mkuu ukipata na njiwa mweusi naomba unipatie pia jogoo mweusi... hawa wanyama kwa kweli ni muhimu kuwa nao nyumbani kwa matumiz mbali mbali hada inapotokea dharura pale jirani anapojifanya kila siku anapika nyama kudadeki ukiona tu paka kalia nyaaaaaaauuuuu.... jirani tunamsahau