M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 111 Dec 16, 2018 #1 Habari wapendwa. Nina ulizia wapi inapatika mifuko ya plastiki ya kuhifadhia nafaka (mfano mchele, maharage nk.) kwa ujazo mdogo wa 2kg, 5kg na 10kg. Mfano wa mifuko ninayo ulizia nimeweka picha yake... Shukran
Habari wapendwa. Nina ulizia wapi inapatika mifuko ya plastiki ya kuhifadhia nafaka (mfano mchele, maharage nk.) kwa ujazo mdogo wa 2kg, 5kg na 10kg. Mfano wa mifuko ninayo ulizia nimeweka picha yake... Shukran
J Jannele Underwears Member Joined Feb 18, 2016 Posts 12 Reaction score 4 Dec 16, 2018 #2 kama upo Dar nenda kkoo utaipata
Prisoner of hope JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,440 Reaction score 2,575 Dec 16, 2018 #3 Kariakoo soko dogo, utapata.
mwera boy Member Joined Aug 14, 2018 Posts 13 Reaction score 0 Dec 16, 2018 #4 Jannele Underwears said: kama upo Dar nenda kkoo utaipata Click to expand...