Nahitaji ofisi ya kupanga

May 8, 2015
52
30
Nahitaji ofisi ya kupanga ya bei nafuu/ bei ya chini iliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kuanzia maeneo ya Morocco hadi mjini.
 
Nahitaji ofisi ya kupanga ya bei nafuu/ bei ya chini iliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kuanzia maeneo ya Morocco hadi mjini.
Ntajitahidi kukuulizia kwa hayo maeneo uliyosema bcoz am very familiar. Pia kama ukinisaidia ajira kwenye hiyo ofisi ntashukuru sana. nina degree ya business administration majoring in marketing. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom