Habar za siku nyingi wakuu.
Kama title ya uzi ilivyo.
Nahitaji space ya kupanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Eneo pendekezwa ni kama:
Temeke
Kigamboni (around kibada mpaka Kongowe)
Kurasini/uhasibu
Tazara.
Bajeti ni 100k - 150k kwa mwezi.
Natanguliza shukrani zangu za dhat kabisaa.
Ukubwa na usalama ni vitu vya kuzingatia.
Ahsanten wakuu.
Nitashukuru endapo nitasaidika