Nahitaji Nyuzi za mkonge/katani au kudu

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
977
Reaction score
1,408
Habari ndugu, nahitaji nyuzi za mkonge,/katani au kudu kabla hazijakuwa kamba mwenye kuwa nazo au anajua zinapatikana wapi.
Nahitaji ug-grade zaidi ya Tani 12.
Njoo pm au mawasiliano
+255717246284
 
offer shilingi ngap kwa kila tani coz sijui bei kama inalipa nianze kufuatilia kwa ndugu yangu pale mazinde Mombo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…