Eneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
Laki 250= 25,000,000/= pm duh mil 300 kwa mwaka kwa nn usinunue appartment moja kwa moja?
Zegebovu1 na Manka mwalimu wenu wa hesabu inatakiwa ashtakiwe.Hesabu kama vile mko uwanja wa fisi?
Eneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
Zegebovu1 na Manka mwalimu wenu wa hesabu inatakiwa ashtakiwe.Hesabu kama vile mko uwanja wa fisi?
We ni div 9 kabisa hebu kuwa makini kidogo basi
Eneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
Eneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
~~~~~~~laki 2.5 x 12 ni milioni 300? wewe ni div.100.
~~~~~~~
~~~~~~~
Wewe Abunuasi ni mmoja wa member mizigo humu JF ningekuwa mod ningekupa LIFE na IP BAN.
~~~~~~~
Ipo sehemu temeke ni laki 2 tuu call 0779420000.maji freee nimechimba kisimaEneo la Mwenge kuelekea tegeta, kuanzia laki 250 kwa mwezi.. 0789634651.. sitaki dalali
~~~~~~~
~~~~~~~
Wewe Abunuasi ni mmoja wa member mizigo humu JF ningekuwa mod ningekupa LIFE na IP BAN.
~~~~~~~
laki 2.5 x 12 ni milioni 300? wewe ni div.100.
Asante king kong. Huyu jamaa aliona dili kukimbia hesabu akakimbilia kiswahili. Mtu kaaandika laki 250 kwa mwezi lenyewe linakremu linaandika laki 2.5 hapo arbogus kubali hesabu imekupitia kushoto. Hebu bogus niandikie million 100 kwa tarakimu halafu niandikie laki 250 kwa tarakimu