Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi

Nahitaji nyumba ya kupanga Moshi

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
60
tafadhali nahitaji nyumba ya kupanga moshi, mwenye nayo au anaejua nyumba ilipo anipigie kwa 0755552727
 
Himo Nyuma ya Dar Express Petrol Station Utakaa!? Au unaulizia Moshi Ipi!?
 
tafadhali nahitaji nyumba ya kupanga moshi, mwenye nayo au anaejua nyumba ilipo anipigie kwa 0755552727

ushapata ninayo ipo boma la ng'ombe hai ni self vyumba 3 sebule,dirning,jiko, choo na bafu. umeme upo na maji yapo kama unahitaji ni pm faster
 
Umemuelewa mwenzio au ndo umekurupuka??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom