Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,255 Reaction score 48,108 Jul 1, 2011 #1 kwa yoyote mwenye simu aina hizo mojawapo anaweza kuniuzia naihitaji sana, nipo Dar
Fisadi Mkuu Member Joined Mar 4, 2011 Posts 72 Reaction score 8 Jul 1, 2011 #2 Fellow Tablet1 said: kwa yoyote mwenye simu aina hizo mojawapo anaweza kuniuzia naihitaji sana, nipo Dar Click to expand... Mimi ninayo n78 nimeshaitumia kwa mwaka mmoja na spika zake za sim zimekufa lakini funtions nyingine zote zinafanya kazi.Kama utaihitaji tuwasiliane bei sh 450,000/= not negotiable.
Fellow Tablet1 said: kwa yoyote mwenye simu aina hizo mojawapo anaweza kuniuzia naihitaji sana, nipo Dar Click to expand... Mimi ninayo n78 nimeshaitumia kwa mwaka mmoja na spika zake za sim zimekufa lakini funtions nyingine zote zinafanya kazi.Kama utaihitaji tuwasiliane bei sh 450,000/= not negotiable.
Baiskeli JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 336 Reaction score 61 Jul 3, 2011 #3 Ninayo n97 iko ktk hali nzuri iliwahi kufa mkanda nikabadilisha haina tatizo lolote. Bei 400,000/=
echuma JF-Expert Member Joined May 20, 2010 Posts 311 Reaction score 80 Jul 7, 2011 #4 mimi nina n82 iko poa kila kitu kama utaweza bei 500000 bt negotiatable kidogo
rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 Jul 9, 2011 #5 n82,functioning v.well nipe 299thous. Ina kila kitu.