Ww umeonaja hapo mkuu? Ngoja niandikie kwa maneno. Una Laki moja na nusu Hela taslimu?15000/150000?
Ata mm hiyo bei sijakutajia ya smartphone. Nimekwambia hiyo bei kwa simu unayo itajia.Natafuta Nokia ya tochi sio smartphone ndugu
Umesema unataka Nokia ya Tochi Original ndio bei yake hiyo. Kama vipi subiri fake.Nimeiona kama ni 150000 lakini naona bei ni kubwa na haiendani na simu ninayoitafuta ndo mana nikauliza .
Sawa mkuu subiri wanakuja wengine wenye nayo.Sina ndugu , hata nusu ya hiyo bei sina