Wengi wenu mnaleta mzaha au mnamtazamo hasi kuhusu kanisa kwasababu hamjui mwanzilishi wa kanisa ni nani,pia kuweni specific makanisa mnayotaka kuanzisha ni yapi maana kanisa la Mungu huanzishwa na Mungu mwenyewe na kanisa la shetani analolianzisha shetani,basi kuweni makini maana ukiletea mzaha kanisa la Mungu utakufa kifo kibaya.