Nahitaji nafaka kwa jumla, nipo Mwanza

Nahitaji nafaka kwa jumla, nipo Mwanza

Joined
Mar 7, 2018
Posts
30
Reaction score
11
Hello wadau..
Mm ni mkazi wa mwanza nilikua nauliza pakupata nafaka kama ulezi, soya, mahindi ya bisi na karanga kwa jumla.. (Hata mbegu za maboga pia!)

Anayejua plz anijuze na bei kabisa.. Asanteni
 
Back
Top Bottom