KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,332 Dec 2, 2018 #1 Habari wana jf ninashida na speaker za aina kama hizi Hata zikipatikana zinazofanana na kama hizi kubwa zaidi au ndogo Hata kama nitofauti ila nahitaji zenye kuwa na amprifire moja kwa moja new or used mtu/duka uwe/lipo dar
Habari wana jf ninashida na speaker za aina kama hizi Hata zikipatikana zinazofanana na kama hizi kubwa zaidi au ndogo Hata kama nitofauti ila nahitaji zenye kuwa na amprifire moja kwa moja new or used mtu/duka uwe/lipo dar
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,920 Reaction score 28,492 Dec 2, 2018 #2 Ni speaker au kiredio hicho sasa??...
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,332 Dec 2, 2018 Thread starter #3 pancho baby boy said: Ni speaker au kiredio hicho sasa??... Click to expand... ni speaker mkuu ni kubwa kama hizo ni watts 1000
pancho baby boy said: Ni speaker au kiredio hicho sasa??... Click to expand... ni speaker mkuu ni kubwa kama hizo ni watts 1000
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,332 Dec 2, 2018 Thread starter #4 pancho baby boy said: Ni speaker au kiredio hicho sasa??... Click to expand...
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,148 Reaction score 4,323 May 15, 2019 #5 KijanaHuru said: ni speaker mkuu ni kubwa kama hizo ni watts 1000 Click to expand... watts 1000 unazijua....unajua speaker za kuhandle hizo watts ni bei gani ?? wachina wamewateka akili ..huo sio mziki ni kelele zinapigaga tu
KijanaHuru said: ni speaker mkuu ni kubwa kama hizo ni watts 1000 Click to expand... watts 1000 unazijua....unajua speaker za kuhandle hizo watts ni bei gani ?? wachina wamewateka akili ..huo sio mziki ni kelele zinapigaga tu