Dada Makini
Member
- Aug 27, 2010
- 28
- 52
Husika na kichwa cha habari. Nahitaji mzani wa kupimia bidhaa dukani. Mfano wa picha hii. Bajeti yangu ni 40,000. Napatikana Dar Mbezi Luis.
Bei ya hio mizani unaifaham kwa mpya dukani? Hata kama ni sahani yaketu huwezi kupata!
Leta 170 nikupe mzani
kariakoo wapi Mkuu nami nautafutaDukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo.
Labda kama hupewi risiti ya EFDDukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo.
Kariakoo sokoni ndani ya jengo kuu inapatikana, mizani ya Tanzania 150,000 na ya India 170,000. Nadhani mazungumzo yapo nimepita hapo leo mchana
kariakoo wapi Mkuu nami nautafuta
Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini?Sokoni mkuu.
Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini?