Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa hizo?ni PM
Mimi nina miaka 33 ninafanya kazi Dar,kama na wakujaribu pliz usipoteze muda wako bure.
Natanguliza shukrani.
miaka 33 yote! Polee! Ucjal 2lia Mungu ataleta mme mwema..usitafte mme mtandaoni kmwe si utamadun we2.Una masahibu gani hadi uje utafute mtandaoni
OTIS
Hujaona mtu mwenyewe anaitwa chinga boy? Wavuta bangi wa box 2 ndo walikuwa wanajiita hivyo. chinga boy na ujinga wa kupiga chata kila kona.Na wewe ni great thinker? Kwa kweli wewe hustahili hadhi hiyo.Kumbe hata wavuta bangi wamo humu eh? Kazi kweli kweli. MODs hamtakuwa mkitutendea haki kama hamtakuwa mkiondoa comments kama hizi na kuwapiga Ban watu wenye akili kama za huyu mvuta bangi maana hata watoto wetu hupitia kwenye forum hii.
..mwenye muonekano mzuri ...
Kaka, kwani amesema anataka kusafiri? Safari njema ya nini tenaCV yako haijakailika, hebu tuwekee elimu yako, kazi gani unafanya. Una mtoto au watoto? Uliwahi kuolewa? Watu wanataka kujua taarifa kama hizo. Nakutakia safari njema
Naitwa emmi,nahitaji mwenza wa maisha miaka kuanzia 39-43 awe na siha njema mwenye muonekano mzuri awe mcha Mungu na awe mwenye kujishughulisha,kujiamini,awe na mtoto walau mmoja.Je wewe una sifa hizo?ni PM
Mimi nina miaka 33 ninafanya kazi Dar,kama na wakujaribu pliz usipoteze muda wako bure.
Natanguliza shukrani.
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
- Awe na Umri usiopita miaka 40
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
- Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 45-50
- Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
- Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
- Sina mke
- Nina watoto wawili
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com
PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously