Nahitaji mwenye contact za wadada wa Malawi

Nahitaji mwenye contact za wadada wa Malawi

Mwanaharakati2013

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
170
Reaction score
15
Habari za asubuh wakuu... Naombeni msaada wa jinsi ya kuwapata wadada wa Malawi. Lengo ni kwa ajili ya kusaidia shughuli za nyumbani kwa aunt yangu.

Nasikia wapo wengi maeneo ya tegeta ila sina pa kuanzia. Msaada wenu plz
 
Nenda huko tegeta ila wana vibali vya kufanya kazi nchini? Usijejuta ndugu serikali ikikuamkia
 
Back
Top Bottom