madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 703
Mh hapo tu kwenye angalizo....Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Mbavu zangu miye[emoji23] [emoji23]Ama kweli zama za magumashi hizi. Siku hizi wadada zamu yenu kuwatongoza waume, ati? Nasikia kama ka-harufu ka methali isemayo !...kibaya chajitembeza..."! Nadhan nimepita kimya, nisikoromewe bure mweeee.....
Sasa naona imekaa kishari Shari. Mi naona ungeweka kigezo kimoja tu ambacho ni MTU anayekupenda nawe ukampenda. Unaweza kuta hiyo 30 hadi 37 wote wameshaoa. So umri uwe wowote na dini yoyote unaweza kumpata wa hali yakoLazima tukumbushane maana kuna watu ambao wao kazi zao n Ku dissapoint wengine
Lazima tukumbushane maana kuna watu ambao wao kazi zao n Ku dissappoint wengine
Sasa naona imekaa kishari Shari. Mi naona ungeweka kigezo kimoja tu ambacho ni MTU anayekupenda nawe ukampenda. Unaweza kuta hiyo 30 hadi 37 wote wameshaoa. So umri uwe wowote na dini yoyote unaweza kumpata wa hali yako
Na watoto 4 juu....My god miaka 28 bado single. Humu mwetu miaka hiyo binti ameshadumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 10
Mkuu icho kitabu wameandika mwanamke hana dini?Utaumiza roho yako bure kwa kutafuta mume mwenye dini kama yako. Mwanamke hana dini. Soma Wakorintho wa kwanza sura ya tisa..
Ulikiwa hujui?Mkuu icho kitabu wameandika mwanamke hana dini?
Tena wa kwanza darasa la 5+ muda huoNa watoto 4 juu....
Kabisa!Tena wa kwanza darasa la 5+ muda huo