NAHITAJI MWANAMKE WA KUOA.

NAHITAJI MWANAMKE WA KUOA.

Tesla Motors

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
62
Reaction score
26
Mimi ni Kijana wa kiume mwenye sifa hizi
Umri Miaka 28
Urefu wangu Futi 6 nchi 7
Uzito Kilo 77
Rangi Maji ya Kunde
Dini Mkristo
Kazi: Electrical Engineer

Natafuta Mwanamke
Umri usiwe zaidi ya 27
Elimu isiwe zaidi ya Degree
Asiwe Mfupi ase
Kabila lolote
Dini yoyote.

Kama Upo serious Njoo Inbox
 
Mwaka mpya na huu mwezi ulivyombaya unatafuta mke..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom