Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,278
- 101,271
Anakusikitikia kwa sababu huu ni mwezi wa kilimo.Mtahamia shamba kufukuza ndege waharibifu wa mpunga.Kaka mshana ujue wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana humu kwa nini unanisikitikia?
Bora amfanye tu kuliko kumtatua.."Umfanye" au awe nyumba ndogo??!!, Umfanye nini??😱
Nieleweshe ndg nawaamini sana wana jf naamini sana nawaza yao huenda nimewakwaza wengi juu ya hili. Nisamehe sina dharau wala sijakusudia mabaya nahitaji mtu wa kuliwazana nae mwenye uelewa wa viwango vya humu. Naomba munishauri vizuri naweza ghairi wazo langu. .Ili "umfanye" nyumba ndogo??!!--- hiyo ni laana.😏
Hahahaah! Wa hivyo sintomuweza. Nahitaji dem nitayeweza kumsapoti kwa ndoto za kawaida. Sio kubwa ki hivo.Inabidi useme atakae kubali nitamnunulia gari aina hii, nitamjengea nyumba aina hii, kila mwaka nitamgharamikia kwenda kutembelea ndani au nje ya nchi,account yake itakuwa haikauki miamala kutoka kwako,Wanaweza wakavutiwa zaidi na tangazo lako
Mkuu unafeli wapi kuna pm si uwafate pm tu jamani ndio maaana Max aliweka pmNdio mamaangu. Tunakosea kwani?