Nahitaji mwanamke asiyezaa

Kuna mengi yanakusumbua kuhusu kupata mtoto pole sana dear Mungu atakupa umtakaye
 
Mmmh uyo mganga wako ndio amekupa mashariti hayo ili ukamtoe kafara mtoto wa watu eeet
 
Sharti ulilopewa na Sangoma gumu sana,,ila jaribu utapata.
 
Bila watoto? Mmh nnavopenda watoto hivi kumbe kuna watu hawana mpango kabisa, dunia ina varieties hiiπŸ€”πŸ€”
 
Age ya 18 atajuaj kam ni mgumba
 
Weka picha pls
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…