Lete pesa ufundishwe, sio habari za kusaidianaHabari wana Jamii Forums, nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje. Location nipo Pugu...
Unataka soma topics gani kwanza ? Na upo mkoa gani ?Ni kweli, cha kwanza ni msaada then fedha ndo inafuata. Kwa Dunia ya sasa huwezi pata msaada bila pesa nalijua hilo . Kama unaweza ni PM...
Huko tuition ndio kunawalimu wanafundisha hadi privately. Jaribu kupelelezaMkuu nimekuelewa, ila sitaki kutafuta tuition kwa sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu, ndo maana nikahitaji mwalimu wa kunifundisha ki private.
Dogo tafuta tuition anza na topic rahisi, Hizi ndani ya miezi 2-3 umemaliza zote.
Calculating devices
Linear programming
Set
Logic
Statistics
Numerical methods
Coordinate geometry 1
Function
Kumbuka hizo ni topic za wazembe ukishindwa fanya swali lolote kati ya hizo topic hapo juu umeisha
Hata mimi pia.. maana trig ilikua inanikera sana, yaan kama swali ulilokutana nalo hujawahi lisolve bora uache tu then ufanye mengine. Kuna mda inaweza kukufariji then ukaanza kwa mbwembwe.....Ukimaliza hapo anza Algebra
Uunganishe na Complex Number
Maliza na Coordinate geometry 2
Hyperbolic Function wengi huwa wanaisoma pamoja na Trigonometry function
Nenda kwa mtiririko huo dogo
Heshimu sana topic rahisi ndio zinaokoa,.kwenye maswali ya kuchagua Sikusoma proba na Trigonometry. Nilikomaa na Differential Equations na Coordinate 2 zilinitoa hizo
Mshauri aanze na trigonometry kabla ya hizo differentiation, integration na differential otherwise ataona maluelue.Ukimaliza hapo ndio mchaka mchaka wa hesabu unaanza
Anza kusoma Differentiation
Halafu Intergration
Kisha unganisha na Differential Equations
Utaweza kulipia Table teaching?Mkuu nimekuelewa, ila sitaki kutafuta tuition kwa sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu, ndo maana nikahitaji mwalimu wa kunifundisha ki private.
Mimi nilisoma PCB mkuu. Jaribu kuingia kwenye ule uzi wa walimu kubadiloshana vituo vya kazi. Kuna walimu kule wanatafuta kazi.Kila kitu huwa ni maelewano kwa pande zote mbili, kama ni kweli unahitaji kunisaidia basi unaweza nifuata PM tukayajenga.
Nenda sehem wanapo fundisha twit peleleza ni mwalimu gani yuko fiti then ukimpata muite pembeni muongee.Habari wana Jamii Forums,
Nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje.
Location nipo Pugu...
Ndio ushauri bora kabisaMshauri aanze na trigonometry kabla ya hizo differentiation, integration na differential otherwise ataona maluelue.