Nahitaji mwalimu wa Kifaransa

Nahitaji mwalimu wa Kifaransa

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
Nahitaji mwalimu wa kifaransa atakae nifundisha mimi na mtoto wangu kwa siku za weekend kwa muda wa miezi mitatu. I'm a beginner. Mwenye contacts na mwalimu yeyote wa Kifaransa naomba.
 
c'est bien,bahati mbaya nipo nje ya nchi now otherwise i could help.ukianza kusoma wasiliana na mimi nitakuwa nakusaidia baadhi ya sehem na pia story mbili tatu in french.la langue française est une tres belle langue dans le monde,bien venue et 'feel at home' dans ce monde.
 
By the way if you are serious na upo mjini specifically Arusha unaweza ukaenda pale Alliance Francais ya Arusha, wapo vizuri sana na wana mazingira bora zaidi ya kukufundishia, pia walimu ni wafaransa, wakongo na wengine kutoka burundi na Congo na nchi zingine ambazo wanatumia French kama lugha ya taifa. Nimesoma kwa miezi sita tu na nipo vizuri na nina cheti kinachotambulika kimataifa. Pia wana library na multimedia room ambayo ipo connected na internet mda wote pia unaweza ukasoma online kwa kupitia ALLIANCE FRANCAISE D'ARUSHA
 
Sérieusement tu parle bien Français?C'est géniale!!!!!!!!!!!!!!!!Alors Bonjour PARIS
 
Comment tu as su qu'il parle bien francais. En tout cas la langue francaise n'est pas si deficile a apprendre. Jusqu'a l'Universite je parlais pas francais mais maintenant ca marche tout seul.

toute langue est difficile à apprendre.il suffit d'aimer pour la rendre si facile........
 
Back
Top Bottom