Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,195
- 40,093
Kumbe mkiombwa hela nyie huwa mnamaindi enheeHumu hamnaga mpenzi serious .
Wala humu kuna majambazi na wenye roho mbaya na waziba riziki mwanadada oga vizuri nenda pubs za heshima utapata mwanaume mzuri umtakaje hapa utasaga gagaa mwisho wa siku watakudhihaki wakuite malaya kumbe ni wamechoka kuishi kwa tabia zao ni ngumu kudate now just imagine mtu anakuja inbox anasema mamboo naomba mawasiliano yako anakuambia nitumie picha yako piga hivi au vila kumbe limtu lina nyege zake wala halina mpango jingine nipe 30k ndio nijue unanipenda mimi ndio nitakuhudumia hadi ndoa naukikataa kunipa hiyo 30k achana na mimi ni block sasa hiyo ndio nini mtu unuwa karibia kufa naomba msaada eti wapendanao usinizoee kabisa unataka kunichuna anakublock .
Hii ndio nini??
Ujinga huu maisha ya sasa nikuonekana unamjali mtu wataka wenyewe na ndio maana ni single wajinga hawa mie nimesha pewa ushauri na mtu ndio maana napeta saivi humu nikuchart na kuwatukana kule mtaani nikuchuja kililiii wako
Mnanisingizia tuu mie wala sijaenda pm kwa muhusika. Mie sina sifa za kuwa mume wa mwanamke wà jf....maana wanawake wa jf hawataki boda boda😂😂Anakosaje Kwa mfano
Wanawake wa jf hawapenda wakuna pumbuz kama mieHao waliokuja pm najua mzabzab hakosi
😂😂Mnanisingizia tuu mie wala sijaenda pm kwa muhusika. Mie sina sifa za kuwa mume wa mwanamke wà jf....maana wanawake wa jf hawataki boda boda
Ww umeoa au upo singlesio wote
Sijaoa mkuu, mbona nikitaka kukuoa unapiga vyenga..??Ww umeoa au upo single
Lkn mtoa mada ndio anatafuta mume mim bado nipo nipo kwanza....elekea PM ya mtoa nada tafadhaliSijaoa mkuu, mbona nikitaka kukuoa unapiga vyenga..??
Nkiwaambia wadada wanakataaTamaa zimetujaa! Kila sketi ikikatiza mtaa wetu huu wa JF tunaifukuzia!!
Toka lini ww ujaoaMbona mimi sijaoa jaman.
Mi nakutaka weweLkn mtoa mada ndio anatafuta mume mim bado nipo nipo kwanza....elekea PM ya mtoa nada tafadhali
Mim sikutakiMi nakutaka wewe
Wacha wee........😀😀😀Mim sikutaki
ww dini ganiNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh nasema ukweli uongo dhambiWacha wee........😀😀😀
Rudia vipaumbeleNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jina itasababisha uendelee kua single mother jina linatisha taswira inayokuja ni kama vile Dume flani! [emoji16][emoji16]
Mnanisingizia tuu mie wala sijaenda pm kwa muhusika. Mie sina sifa za kuwa mume wa mwanamke wà jf....maana wanawake wa jf hawataki boda boda
Fungua dirisha chungulia njeMsaada jinsi kuingia pm