dada wa ukweli
Member
- Feb 26, 2015
- 41
- 14
Hivi huwezi kum-PM wewe?
Kila la kheri dada yangu na Mungu akupe sawasawa na hitaji la moyo wako ....!Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake ningependa anizidi mimi.
Naamini mume ni zaidi ya rafiki
Karibu uliyetayari
Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake ningependa anizidi mimi.
Naamini mume ni zaidi ya rafiki
Karibu uliyetayari