Nahitaji mume bora

mume bora zama hizi? utamtoa wapi? labda peleka special order kwa muumba...
 
Lakini mwanangu huyu dada ni mzuri kwnini asiishi na sisi? Halafu anajua kupika chakula kitamu

baba mzuri mimi sitaki tena anlingana na mimi utaamishia mapenzi kwake unisahau mwanae mi sitaki..
 
CUTE01 naona umerudi na ID mpya!!

Just like the old days
 
Last edited by a moderator:

Watu wengi hili hawalijui au wanapuuza!

Kama mume wako si rafiki, usishangae mkatembea hata kilometa pamoja bila hata kusemeshana!

Uhusiano wenu unakuwa 'too formal'!

Hakuna ndoa hapo ni kwamba mlikidhi matamanio ya miili tu!
 
sawa kabisa wengi hiki kipengele wanakiweka pembeni ... lakini ni muhimu sana
 
^^
Mwenye pesa
Anaekuridhisha
Hana kibamia
Mcha Mungu
Msomi
Mpole daima
Anaejitegemea
Mwaminifu
Handsome
Anaekubalika kwa rafiki zako
Mkweli
Mtunza familia
Anaejali hisia zako
...
ANAKUJA DADA, usiwaze
^^
money oriented mind ...... pole
 
Sifa zote ninazo sijui tuonane wapi ?
 
Ndio ipo wapi?naisikia tu INA nyama choma nzuri

pale afrikasana hapo mkuu kuna kuku wa kuchoma watamu acha kabisa njoo basi na hela ya bia mimi sina hela sa kumi na mbili hivi nitakuwa nimefika
 
pale afrikasana hapo mkuu kuna kuku wa kuchoma watamu acha kabisa njoo basi na hela ya bia mimi sina hela sa kumi na mbili hivi nitakuwa nimefika

Nitakuja but sitakutafuta,mambo ya kufumaniwa noma
 
Mbona umekaa kifedha fedha anyway nikija hapo suala la kuchangia gharama halikwepeki nikizungusha round inyofuata lazima uzame kwenye pochi ha ha ha ha ha.

Haina tabu lakini lazima tuende sawa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…