Nahitaji mume anayejitambua

Nahitaji mume anayejitambua

kirajabu

Member
Joined
May 31, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Mimi ni msichana, nimeajiriwa serikalini, natafuta mume ambaye anatakuwa anaishi Tanga, miaka 36-45. maelezo zaini ni pm.
 
36 - 45 na bado awe single,
Mama utagongwa na utaachwa feli,
Me naishi Tanga lakini sidhani kama hapo Tanga umekosa kiasi hicho,
Mbona hao vibaraghashia wengi wapo wapo tu,
Hebu kamata mmoja awe anakuweeeka tu kila siku uridhike na maisha basi
 
Je ambao tuko baby faced lakini ni watu wazima wa miaka 38 utatutambuaje wakati hatuna vyeti vya kuzaliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom